-
Waroma 7:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kwa maana dhambi kwa kutumia amri hiyo ilipata nafasi ya kunishawishi na kuniua kupitia amri.
-
-
Waroma 7:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Kwa maana dhambi, ikipokea kichocheo kupitia amri, ilinishawishi na kuniua kupitia yenyewe hiyo.
-