-
Waroma 7:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kwa kuwa sielewi kile ninachokifanya. Kwa maana sifanyi kile ninachotaka, bali ninafanya kile ninachochukia.
-
-
Waroma 7:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa maana lile nifanyalo silijui. Kwa maana lile nitakalo, hilo sizoei kulifanya; bali lile nichukialo ndilo nifanyalo.
-