-
Waroma 8:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Kwa namna hiyo roho pia hujiunga kutoa msaada kwa ajili ya udhaifu wetu, kwa maana tatizo la tupasalo kusali kwa ajili yalo kama tuhitajivyo hatujui, lakini hiyo roho yenyewe hutuombea pamoja na upigaji-kite usiotamkwa.
-