-
Waroma 11:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 ndivyo pia hawa sasa wamekuwa wasiotii na hivyo mkaonyeshwa rehema, ili wao wenyewe pia waonyeshwe rehema sasa.
-
-
Waroma 11:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 ndivyo pia hawa sasa wamekuwa wasiotii ikitokeza rehema kwenu, ili wao wenyewe pia wapate kuonyeshwa rehema sasa.
-