-
Waroma 13:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Kwa maana wale wanaotawala ni kitu cha hofu, si kwa kitendo kilicho chema, bali kwa kilicho kibaya. Basi, je, wataka usiwe na hofu yoyote kwa hiyo mamlaka? Fuliza kufanya lililo jema, nawe utakuwa na sifa kutoka kwayo;
-