-
Waroma 14:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Wewe ni nani umhukumu mtumishi wa nyumbani wa mwingine? Kwa bwana-mkubwa wake mwenyewe yeye husimama au huanguka. Kwa kweli, atafanywa asimame, kwa maana Yehova aweza kumfanya asimame.
-