-
Waroma 14:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Mtu mmoja huhukumu siku moja kuwa juu ya nyingine; mtu mwingine huhukumu siku moja kuwa kama nyingine zote; acheni kila mtu awe amesadiki kikamili katika akili yake mwenyewe.
-