-
Waroma 15:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 na kwamba mataifa yapate kumtukuza Mungu kwa ajili ya rehema yake. Kama vile imeandikwa: “Hiyo ndiyo sababu hakika nitakukiri wewe waziwazi miongoni mwa mataifa na kwa jina lako hakika nitafanya melodia.”
-