-
Waroma 16:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Msalimuni Herodioni, mtu wangu wa ukoo. Wasalimuni wale wa nyumbani mwa Narkiso walio katika Bwana.
-
-
Waroma 16:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Salimuni Herodioni aliye jamaa yangu. Salimuni wale wa kutoka nyumbani mwa Narkiso walio katika Bwana.
-