-
Waroma 16:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Kwa maana watu wa namna hiyo ni watumwa, si wa Bwana wetu Kristo, bali wa matumbo yao wenyewe; na kwa maongezi laini na usemi wa kusifu-sifu wao hushawishi mioyo ya wasio na hila.
-