-
1 Wakorintho 4:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Basi, akina ndugu, mambo haya nimeyahamisha ili kuyatumia juu yangu mwenyewe na Apolo kwa faida yenu, ili katika kisa chetu mpate kujifunza kanuni: “Msiyapite mambo ambayo yameandikwa,” ili msipate kujitutumua mkiwa mtu mmoja-mmoja kwa kupendelea mmoja dhidi ya mwingine.
-