-
1 Wakorintho 4:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Nyinyi watu tayari mmepata shibe yenu, sivyo? Nyinyi tayari ni matajiri, sivyo? Nyinyi mmeanza kutawala mkiwa wafalme bila sisi, sivyo? Nami nataka kwa kweli kwamba mngalikuwa mmeanza kutawala mkiwa wafalme, ili sisi pia tupate kutawala pamoja nanyi tukiwa wafalme.
-