-
1 Wakorintho 7:39Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
39 Mke amefungwa wakati wote ambao mume wake yuko hai. Lakini iwapo mume wake alala usingizi katika kifo, yuko huru kuolewa na yeyote atakaye, katika Bwana tu.
-