-
1 Wakorintho 9:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Kwa walio dhaifu nilipata kuwa dhaifu, ili niweze kuwapata walio dhaifu. Nimekuwa mambo yote kwa watu wa namna zote, ili nipate kwa vyovyote kuokoa wengine.
-