-
1 Wakorintho 10:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Mtu asiyeamini akiwaalika nanyi mtake kwenda, kuleni chochote kinachowekwa mbele yenu, bila kuchunguza kwa sababu ya dhamiri yenu.
-
-
1 Wakorintho 10:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Ikiwa yeyote wa wasio waamini awaalika nanyi mwataka kwenda, endeleeni kula kila kitu kiwekwacho mbele yenu, bila kuulizia habari kwa sababu ya dhamiri yenu.
-