-
1 Wakorintho 11:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kwa maana ikiwa mwanamke hajifuniki, anapaswa kukatwa nywele zake; lakini ikiwa ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele au kunyolewa, anapaswa ajifunike.
-
-
1 Wakorintho 11:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Kwa maana ikiwa mwanamke hajifuniki mwenyewe, acheni akatwe nywele pia; lakini ikiwa ni jambo lenye fedheha mwanamke kukatwa nywele au kunyolewa, acheni afunikwe.
-