-
1 Wakorintho 14:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kwa maana tarumbeta ikipiga mwito usiojulikana, ni nani atakayejitayarisha kwa ajili ya vita?
-
-
1 Wakorintho 14:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Kwa maana kwa kweli, tarumbeta ikivuma wito usio dhahiri, nani atajitayarisha kwa ajili ya pigano?
-