-
1 Wakorintho 14:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Vivyo hivyo, msiposema maneno yanayoeleweka kwa urahisi kupitia lugha hiyo, watu watajuaje kinachosemwa? Kwa kweli, mtakuwa mkizungumza hewani.
-
-
1 Wakorintho 14:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Katika njia hiyohiyo pia, nyinyi msipotamka usemi wenye kueleweka kwa urahisi kupitia hiyo lugha, linalosemwa litajulikanaje? Kwa kweli, mtakuwa mkisema hewani tu.
-