-
1 Wakorintho 14:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Ikiwa sielewi maana ya maneno, nitakuwa mgeni kwa yule anayezungumza, naye anayezungumza atakuwa mgeni kwangu.
-
-
1 Wakorintho 14:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Basi, ikiwa sielewi kani ya mvumo wa usemi, nitakuwa mtoka-ugenini kwa yeye anayesema, na kwangu yule anayesema atakuwa mtoka-ugenini.
-