-
1 Wakorintho 15:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Lakini kwa fadhili zisizostahiliwa za Mungu mimi niko kama nilivyo. Na fadhili zake zisizostahiliwa kwangu hazikuwa za bure, bali nilifanya kazi zaidi yao wote; lakini si mimi bali ni fadhili zisizostahiliwa za Mungu zilizo pamoja nami.
-
-
1 Wakorintho 15:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Lakini kwa fadhili isiyostahiliwa ya Mungu mimi niko kile nilicho. Na fadhili yake isiyostahiliwa iliyonielekea mimi haikuthibitika kuwa bure, bali nilifanya kazi ya jasho kwa kuwazidi wote, lakini si mimi bali ni fadhili isiyostahiliwa ya Mungu iliyo pamoja nami.
-