-
2 Wakorintho 1:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Basi kama tumo katika dhiki, hiyo ni kwa ajili ya faraja na wokovu wenu; au kama tunafarijiwa, hiyo ni kwa ajili ya faraja yenu itendayo ili kuwafanya mvumilie mateso yaleyale ambayo sisi pia twateseka.
-