-
2 Wakorintho 1:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa maana jambo tunalojisifia ni hili, ambalo kwalo dhamiri zetu zatoa ushahidi, kwamba kwa utakatifu na weupe wa moyo wa kimungu, si kwa hekima ya kimwili bali kwa fadhili isiyostahiliwa ya Mungu, sisi tumejiendesha wenyewe katika ulimwengu, lakini zaidi hasa kuwaelekea nyinyi.
-