-
2 Wakorintho 2:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Basi ikiwa yeyote amesababisha huzuni, amehuzunisha, si mimi, bali nyinyi nyote kwa kadiri fulani—kutokuwa mkali mno katika nisemayo.
-