-
2 Wakorintho 3:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Kwa maana nyinyi mwaonyeshwa kuwa barua ya Kristo iliyoandikwa na sisi tukiwa wahudumu, iliyoandikwa si kwa wino bali kwa roho ya Mungu aliye hai, si juu ya mabamba ya mawe, bali juu ya mabamba ya nyama, juu ya mioyo.
-