-
2 Wakorintho 3:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 ambaye kwa kweli ametustahilisha vya kutosha kuwa wahudumu wa agano jipya, si wa mfumo wa sheria iliyoandikwa, bali wa roho; kwa maana mfumo wa sheria iliyoandikwa huleta adhabu ya kifo, bali roho hufanya kuwa hai.
-