-
2 Wakorintho 7:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Sisemi jambo hili ili niwahukumu. Kwa maana tayari nimesema kwamba ninyi mko ndani ya mioyo yetu ili kufa pamoja na kuishi pamoja.
-
-
2 Wakorintho 7:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Sisemi hili kuwalaumu nyinyi. Kwa maana nimesema hapo mbele kwamba nyinyi mumo katika mioyo yetu ili kufa na kuishi pamoja nasi.
-