-
2 Wakorintho 7:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Mimi nina uhuru mkubwa wa usemi kuwaelekea nyinyi. Nina kujisifu kukubwa kwa habari yenu. Nimejawa na faraja, ninafurika kwa shangwe katika taabu yetu yote iliyo kubwa.
-