-
2 Wakorintho 7:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 lakini si kwa kuwapo kwake peke yake, bali pia kwa faraja ambayo kwayo alikuwa amefarijiwa juu yenu, kwa kuwa alituletea habari tena juu ya kuwa kwenu na hamu sana, kuomboleza kwenu, bidii yenu kwa ajili yangu; hivi kwamba nikashangilia tena zaidi.
-