-
2 Wakorintho 9:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 La sivyo, Wamakedonia wakija pamoja nami na kukuta hamko tayari, sisi—nanyi pia—tutaona aibu kwa sababu ya uhakika wetu kwenu.
-
-
2 Wakorintho 9:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Kama sivyo, kwa njia fulani, Wamakedonia wakija pamoja nami na kuwakuta mkiwa hamko tayari, sisi—bila kusema nyinyi—tusije kuaibishwa katika uhakikisho wetu huu.
-