-
2 Wakorintho 9:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Na kupitia dua kwa ajili yenu, wanaonyesha upendo wao kwenu kwa sababu ya fadhili nyingi zisizostahiliwa za Mungu juu yenu.
-
-
2 Wakorintho 9:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 nao wakiwa na dua kwa ajili yenu wana hamu sana kuwaona nyinyi kwa sababu ya fadhili isiyostahiliwa ya Mungu izidiyo juu yenu.
-