-
2 Wakorintho 10:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa maana hatuthubutu kujiainisha wenyewe miongoni mwa wengine au kujilinganisha wenyewe na wengine ambao hujipendekeza wenyewe. Hakika wao katika kujipima wenyewe kwa wenyewe na kujilinganisha wenyewe na wao wenyewe hawana uelewevu.
-