-
2 Wakorintho 11:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Hili ndilo ninalosema sasa, si kwa kufuata kielelezo cha Bwana, bali kama mtu asiye na akili, kwa ujasiri wa kujisifu.
-
-
2 Wakorintho 11:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Lile nisemalo nasema, si kwa kufuatisha kielelezo cha Bwana, bali kama katika ukosefu wa akili, katika uhakika huu wa kupita kiasi ulio kawaida ya kujisifu.
-