-
2 Wakorintho 11:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Je, wao ni wahudumu wa Kristo? Mimi najibu kama mtu mwenye kichaa, kwa kutokeza zaidi ndivyo nilivyo: katika kazi za jasho kwa utele zaidi, katika magereza kwa utele zaidi, katika mapigo kwa kuzidi mno, katika mikaribio ya kifo mara nyingi.
-