-
2 Wakorintho 11:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 katika safari mara nyingi, katika hatari za kutokana na mito, katika hatari za kutokana na wanyang’anyi wa njia kuu, katika hatari za kutokana na jamii yangu mwenyewe, katika hatari za kutokana na mataifa, katika hatari za jijini, katika hatari za nyikani, katika hatari za baharini, katika hatari za miongoni mwa ndugu wasio wa kweli,
-