- 
	                        
            
            2 Wakorintho 12:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
19 Je, mnafikiri kwamba muda huu wote tumekuwa tukijitetea kwenu? Tunazungumza mbele za Mungu katika muungano na Kristo. Lakini wapendwa, yote tunayofanya ni kwa ajili ya kuwajenga.
 
 - 
                                        
 
- 
	                        
            
            2 Wakorintho 12:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
19 Je, nyinyi mmekuwa mkifikiri muda huu wote kwamba sisi tumekuwa tukijitetea kwenu? Ni mbele ya Mungu kwamba tunasema kuhusiana na Kristo. Lakini, wapendwa, mambo yote ni kwa ajili ya kuwajenga nyinyi.
 
 -