Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wakorintho 12:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Labda nitakapokuja tena, huenda Mungu wangu akaninyenyekeza mbele yenu, nami niwaombolezee wengi kati ya wale ambao mwanzoni walitenda dhambi lakini hawajatubu unajisi wao na uasherati* na mwenendo mpotovu* ambao wametenda.

  • 2 Wakorintho 12:21
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 21 Labda, nijapo tena, huenda Mungu wangu akanitweza miongoni mwenu, na huenda nikaomboleza juu ya wengi kati ya wale ambao hapo zamani walitenda dhambi lakini hawajatubia ukosefu wao wa usafi na uasherati na mwenendo mlegevu ambao wamezoea kufanya.

  • 2 Wakorintho
    Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
    • 12:21 w12 3/15 31

  • 2 Wakorintho
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 12:21

      Mnara wa Mlinzi,

      3/15/2012, uku. 31

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki