-
2 Wakorintho 13:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 kwa kuwa mnatafuta uthibitisho kwamba Kristo, ambaye si dhaifu kuwaelekea ninyi bali ni mwenye nguvu kati yenu, kwa kweli anazungumza kupitia mimi.
-
-
2 Wakorintho 13:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 kwa kuwa mnatafuta ithibati ya Kristo akisema katika mimi, Kristo ambaye si dhaifu kuwaelekea nyinyi bali ni mwenye nguvu miongoni mwenu.
-