-
Wagalatia 2:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa maana kabla ya kuwasili kwa watu fulani kutoka kwa Yakobo, alikuwa na kawaida ya kula pamoja na watu wa mataifa; lakini walipowasili, akaanza kujiondoa na kujitenga mwenyewe, kwa kuwahofu hao wa tabaka ya waliotahiriwa.
-