-
Wagalatia 4:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Lakini sasa kwa kuwa mmekuja kumjua Mungu, au afadhali zaidi kusema kwa kuwa sasa mmekuja kujulikana na Mungu, ni jinsi gani kwamba mnarudia tena mambo ya msingi yaliyo dhaifu na yasiyo na maana na kutaka kuyatumikia mkiwa watumwa kwa mara nyingine tena?
-