-
Waefeso 6:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Kwa sababu hiyo chukueni suti kamili ya silaha kutoka kwa Mungu, ili mpate kuweza kukinza katika siku ya uovu na, baada ya nyinyi kuwa mmefanya mambo yote kikamili, kusimama imara.
-