-
Wafilipi 1:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 lakini wale wa kwanza hufanya hivyo kutokana na ugomvi, si kwa kusudi safi, kwa maana wanataka kunisababishia dhiki katika vifungo vyangu vya gereza.
-
-
Wafilipi 1:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 lakini wale wa kwanza hufanya hivyo kutokana na ugomvi, si kwa madhumuni safi, kwa maana wao wanadhania kuchochea dhiki kwangu katika vifungo vyangu vya gereza.
-