-
Wafilipi 3:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Isitoshe, kwa kweli ninaviona vitu vyote kuwa hasara kwa sababu ya thamani bora zaidi ya kumjua Kristo Yesu Bwana wangu. Kwa ajili yake nimekubali hasara ya vitu vyote nami ninaviona kuwa takataka nyingi, ili niweze kumpata Kristo
-
-
Wafilipi 3:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Naam, kama ilivyo, kwa kweli naona vitu vyote kuwa hasara kwa sababu ya thamani iliyo bora zaidi ya ujuzi wa Kristo Yesu Bwana wangu. Kwa sababu yake nimekubali hasara ya vitu vyote nami naviona kuwa takataka nyingi, ili niweze kupata Kristo
-