-
Wafilipi 4:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Hata hivyo, mlifanya vema kwa kushiriki pamoja nami katika dhiki yangu.
-
-
Wafilipi 4:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Hata hivyo, mlitenda vema kuwa washiriki pamoja nami katika dhiki yangu.
-