-
Wakolosai 1:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 yeye sasa amewapatanisha tena kwa njia ya mwili wenye nyama wa yeye huyo kupitia kifo chake, kusudi awatoe nyinyi mkiwa watakatifu na wasio na waa na bila lawama yoyote mbele yake,
-