-
Wakolosai 1:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 mradi, bila shaka, mwaendelea katika imani, mkiwekwa imara juu ya msingi na mkiwa thabiti na bila kuondoshwa mbali kutoka kwenye tumaini la habari njema mliyoisikia, na iliyohubiriwa katika viumbe vyote chini ya mbingu. Juu ya habari njema hii mimi Paulo nikawa mhudumu.
-