-
Wakolosai 2:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 lakini yeye hashiki kwa imara kile kichwa, yeye ambaye kutoka kwake mwili wote, ukiandaliwa na kuungwa pamoja kwa upatano kwa njia ya viungo vyao na kano, huendelea kukua kwa ukuzi ambao Mungu hutoa.
-