-
Wakolosai 3:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Pia, acheni amani ya Kristo idhibiti mioyoni mwenu, kwa maana nyinyi, kwa kweli, mliitiwa hiyo katika mwili mmoja. Na jionyesheni wenyewe kuwa wenye shukrani.
-