-
Wakolosai 4:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Epafrasi, ambaye ni kutoka miongoni mwenu, mtumwa wa Kristo Yesu, awapelekea nyinyi salamu zake, akijikakamua mwenyewe sikuzote kwa ajili yenu katika sala zake, ili nyinyi mwishowe mpate kusimama mkiwa kamili na kwa usadikisho imara katika mapenzi yote ya Mungu.
-