-
1 Wathesalonike 5:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Sasa tunawaomba, akina ndugu, waheshimuni wale wanaofanya kazi kwa bidii miongoni mwenu na wanaowasimamia katika Bwana na kuwaonya ninyi;
-
-
1 Wathesalonike 5:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Sasa twawaomba nyinyi, akina ndugu, mwe na staha kwa wale wanaofanya kazi kwa bidii miongoni mwenu na kuwasimamia nyinyi katika Bwana na kuwaonya nyinyi kwa upole;
-