- 
	                        
            
            2 Wathesalonike 3:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
6 Sasa tunawapa nyinyi maagizo, akina ndugu, katika jina la Bwana Yesu Kristo, kujiondoa kutoka kwa kila ndugu anayetembea bila utaratibu na si kulingana na mapokeo mliyopokea kutoka kwetu.
 
 -